Saa hii pale NSE, ukiwa na 500 bob, unaweza chukua share moja ya BAT @ 410 bob, ubaki na change ya 90 bob 💵. Halafu ukae tu upokee dividend ya chwani 💰... Hii ni noma ama ni noma zaidi? 😎