
Saa hii Sukari na token zikiisha pamoja mtu anatoa wapi seventy million?
Acha tu tuongelelee Spices in our weekly segment; Garam Masala, ama Viungo vyenye pilipili. Hii ni unique combination ya aromatic ingredients zenye ziko blended whole na pia ground. Though hakuna fixed ingredient, wakati mwingi u'include cinnamon, cardamom, cloves, cumin, coriander seeds, black peppercorns, na nutmeg. Ukuwa carefully selected and kuwa toasted ndio zi release their essential oils ndio sasa upate the heightened flavors na aroma.
Matumizi ya Garam Masala ni mengi, kama nyama ya kuku, mchuzi mboga, salads, supu, pirau na Biryani. Kuna wale pia utumia kwa cookie na cakes.
Na upande wa dawa, Garam inakuwa believed kutibu homa and pia shida ya tumbo na ku enhance digestions.
Shukrani kwa mesher mwenye aliguzia niongelelee hi spice. Have another in mind? Please share below.
