
Saa zingine unafanya kazi hadi asubuhi, hulali buana alafu client bado anataka revision, "Nataka kitu kali, ikue unique"... alafu bado hataki kulipa vizuri.
"Naweza kulipa exposure?" ama "Si nitakurefer kwa watu wengi." Ukishaquote bei ndio mtu anashindwa kupumua, anakujenga nusu alafu anakuambia "Balance ntakujenga next week"
Buana how do you deal with such clients? How do you negotiate? Ju hii kitu ya pricing inapiga wasee wengi chenga, inataka ujanja na roho ngumu.

0
0
0