Saa zingine unashanga unapata mavijana wako na access to net na computers kama zile za Ajira Center ama za Ntitonal library na hawafayi kitu ya maana ni youtube, fb na other social sites tu throughout. Huwa naskia tu kuwachanua vile wanaweza anaza kulearn vitu online.
0
0
0