Saa zingine unaweza kuwa hauko na hutaki kufunga biz, ni vitu gani unaagalia kwa assistant unamwacha hapo? Coz kuna wale customers wasipokuget yeye ameenda kuenda. Hebu tuchanue