
Safari yako ya kuwa financially independent inaanza na kuwa financially literate. Unapaswa kutumia asili mia 50 ya mapato yako katika shughuli za kawaida kama vile kulipa bills, uchukuzi, kununua chakula na kadhalika. Asilimia 30 utumie kununua vitu zako kama vile nguo na ujiburudishe nayo halafu asilimia kisha 20 iliyobaki ni ya kuwekeza.
0
0
0