
Safaricom has today officially launched M-PESA Business Loans.
Unaweza get hizi biz loans aje?
✅ Fuliza Biashara ✅ Taasi Pochi ✅ Taasi Till Loans
Kama uko na Till number kwa biz unaweza use M-PESA Business App or dial *234# ku-apply
Umetumia Fuliza for biz before? Ni deal poa? Weka maoni kwa comments.

0
0
0