Safaricom wana plan ku-launch a new M-Pesa platform, M-Pesa Fintech 2.0
Wanadai itakua possible kushare your M-Pesa wallet for example na mpoa wako, siblings, kids ama pia parents in your absence.
Pia itakua inatumia Ai kudetect fraud faster.
Unaweza share M-Pesa details zako na mpoa, siblings, kids...share maoni yako kwa comments.
0
0
0