
Sahi almost kila youth anadai kua developer ama anadai kujua ku code or kufanya Tech stuff.
Kwa hii era unapata pricing inakua very competitive sana kama experienced developer.
Na kama wewe ni full time freelancer unaweza tumia tricks gani ndo you sell fiti pale kwa mtandao. ?
0
0
0