
Sahi, kumekua kugumu walai, decisions zinakua ngumu kumake, unashindwa nikusave utasave doo kama investiment ama nibizz utafungua kama risk. Unakumbuka pia hauna backup, unabaki ukiwa stranded.
Ebu tuchanuane, ni better kufungua bizz ama kusave hizo doo for emergency?
0
0
0