
Sahi life ya creativity imekua ngumu. Inaenda ku implement an idea unapata msee alikua amejaribu hiyo idea ika bounce. Guys you do you keep on with your creativity isi kue expired, and how do you get your inspiration.
Ebu nichanueni hapa kwa comment section.
0
0
0