
Sahi Tuko 2024!!!!
Now sahi ukiweka products zako kwa soko ya online and then unaweka DM/contact me for price, Thats how you loose a customer imediately. Sahi Mbogi nikupost product yako na bei, msee akibambika na product yako anafanya calculations aone kama anafika bei ama apana. Kama hawezi atarudi next time.
Sahi kutafta msee inbox juu ya bei ya product inakua ngumu sana?
Ama mnaona aje hii maneno Mesher? ebu nichapieni hapa kwa comment section👇👇

0
0
0