
Sahi unaweza make doo aje ukiwa na movie shop?
At this time of January watoi wamerudi shule so biz ya PS na Movies imecome kukua down kiaci.
Hapa ndo ile masaa ya ku think outside kiaci. If around area yako kuna shule, unaweza approach one of the School ukue uki offer printing materials za CBC na pia kuwa pea designs. Ama unaweza ambia walimu wakue wakireffee watoi n wazazi kwako. Ni wewe kuplay kiwewe hustle ijipe. 💯💯
0
0
0