Sahi vile siasa inazidi kunoga ni vipi umebenefit so far ama ni vipi imekuaffect hizi campaigns? Naona mtaani wanashughulika na mambo yao hawana story na siasa