Sahii biz ya Bolt ya boda kuna vile imeshika Between motorbike ya Fuel na ya Electric gani fiti kuingia nayo kwa hii hustle?