Sahii ni mzimu wa mvua then january ni jua, form ni kuinvest kwa vegetables kama cabbages zina mature by feb na bei iko juu.