
Sahii wasee wako na interest ya kulearn n becoming millionaires from Forex trading but wasee hawako ready for what it takes .... Personally am a trader I also mentor people on how to make money from the Global markets. Huwa na train Kwa hizi Jitume Labs or TENP zenye ziko Kwa hizi TVET Institutions and nmerealise wasee wanadai Sana kujua lakini I wonder some trainees wanataka instant results........ It doesn't work that way
0
0
0