Sai ni musimu wa festival season na shengs mpya zipo sokoni 😹 😂 Wateja wanakuja na maneno tofauti every day. Tuende na rada tusije tukakuwa na drama za kukosa kuelewa🤳