Sai scammers wanatarget male gender sana, kuna madem wanaanza kukukatia pole pole ukishaingia box na unaanza kutoboka tu mwenyewe.