Saidia Comrade Mesher mwenye ameuliza...
"Kwa hii economy, living alone, ni gani cheap?
🍳Cooking kwa keja 🍳 Kubuy dema kwa hotel?
Mkuwe na wiki murua.