
#SalesScript First of all inafaa umaintain eye contact kama customer anaongea ndio ajue that you're listening to what he or she anasema. Second,inafaa upractice good posture ndio ajue how confidence you are ndio aweze kutrust kazi zako Then inafaa usmile when it's appropriate na your customer. Then inafaa uavoid unnecessary movement juu it can distract and take the customer's attention away.Instead you should stand still bora tu usiover do. Then inafaa uongee loudly,clearly na confidently Then be an active listener..Na hivyo tu ndio unaeza build a good relationship na customers wako.
0
0
0