#SalesScript Kua na eye contact na client ni muhimu sana.Kasmile kiasi na facial experesion fiti hio nayo lazima ukue nayo ukibonga na cients.Gestures ukitumia mikono pia uokolea sana