
Sally kwanza afanye SWOT analysis. S- strengths zake ni zipi. Kuamka mapema na kulala late watu wakitoka job na wakirudi watakula kwake sana
W- weakness- uko m lazy wapi .. be it communication with customers .. Things you need to improve on. Zenye zitapendeza wateja
O- opportunities- angalia ni nini watu wengine wa mayai hawafanyi. Be unique na utapata wateja wengi. Smocha , nduma mboilo etc
T- Threats. Usifanye kitu inaeza fanya upoteze pesa. I.e gambling ama kwenda kuuzia uko kwa reli( watakuimbia stock na pesa)
Sally akue mjanja na tunamtakia kila la kheri
@merics bright
0
0
0