Salon yako iko na good vibes, lakini iko na marketing strategy kweli? đ¤ˇââď¸
Mimi husaidia mabiz za mtaa kama salons na spa kuboost online. Nakupea:
âď¸ Mad Facebook page ya biz (naitengeneza ikuwe legit na catchy) âď¸ High-quality posters/posts (na quotes pia za kushika wasee) âď¸ Maidea za content ndo usikue offline online âď¸ Bonus: Nakuweka Google Business Profile pia, usikuwe missing kwa search
Nadai kuhelp salons 3 this weekend na hii offer. Kama unataka kuboost page yako na ku-attract more clients, ni-DM.
0
0
0