
Sam anaeza jaribu ku open a branch place ingine na atafte msee amuajiri kama biz inaenda fti. Pia trying new stuff Kwa biz yake inaweza muongezea customers, vtu kama ku introduce taste tofauti tofauti za popcons, kuongeza vtu ndogo ndogo kama juices ama sodas na maji. Kama Ako na uwezo anaeza invest Kwa packaging branded na ajaribu ku approach biz consumers kama supamarkets akue ana supply in bulk. Marketing ni muhimu Kwa any biz, anaeza utilize social media kama TikTok , IG, MESH. Lastly customer relationship inafaa kua top, kuuliza customers feedback, what they would like Kwa popcons, na genuine thoughts on where he is currently in terms of customer satisfaction Kwa popcons zake
0
0
0