
Samson anaeza anza na kubadilisha ama kuongeza flavours tofauti, alaf ju kuna watu hawapendi chemicals anaeza include some natural products labda in form of spices. Ju watu huprefer vitu tofauti. So akidiversify atakuwa amecover a large population of people.
Also anaeza anza na kufocus on branding ya biz yake around hapo mall yani from vile anafunga na vile anapima hadi bei.
Anaeza jua what to do akishapiga research by kuulizia from customers kile they like, anaeza pimia pia aone masaa hao hubuy sana. Then ivo anaeza identify emerging trends na consumer preferences.
Samson pia anaeza hama penye kuna traffic zaidi if hapo there's not much traffic, So he can form partnerships with complementary businesses within the mall, such as entertainment venues, to cross-promote products and attract a broader customer base, then nmeona kuna vile anafaa aimprove at least shop yake ikae presentable and attractive.Bora products zote zinaonekana na customers.
Anaeza tumia social media or apeane number yake ili wenye wako around there maybe other business owners can be calling or placing some orders.
Anaeza implement a customer loyalty program to reward frequent customers and encourage customers kurudi. Ama akuange na offers at times..
By implementing these ideas, Samson can effectively scale his business and capitalize on the growth opportunities within the mall environment.


