
Samson anaweza brand stand yake fiti iwe eye catching. Anafaa kumake sure amepanga stock yake fiti yaani display yake ya stock ni clean and neat. Mabuyu na dates anaweza kupack kwa small tins in different sizes like 100gms,125gms or even 500gms itamsaidia kuattract customers wakona different needs so ata increase range yake ya customers Anakuwa na good customer service na pia anaconsider customers feedback, itamhelp kujua customers wake wanapenda nini na anafaa kuimprove wapi
0
0
0