
Samson should try making popcorn of different flavors kama ukwaju, pili pili kwa kutumia hii ya maembe inakuwa poa also anaweza tumia ndimu na pia sukari. Also for him to be unique anaweza kuwa akitumia food color za rangi tofauti tofauti ili kuattract macho ya wasee na kuwa fanya wawe curious Kutty popcorn zake. Anafaa pia kuwa na good customer service awe anaongea nao politely na akue happy akiwauzia products zake inaweza pia kuwa poa aki engage na customers watoi especially time wanekuja na mzazi kununua make fun kiasi ndo mtoi akienda ataambia mamake anataka popcorn za anko Samson tena coz ilikuwa tamu mtoi aki insist lazima mathe atachangamka. He should not make it easy for his competitors kucopy procedure za kumake popcorn kwa competitors wa karibu na yeye, also while packaging azipack kwa makaratasi zile transparent ndo ziweze kuonekana, na awe akipeana discounts to the regular customer. Pia popcorn make zikiwa unique hivi news about hizi popcorn zake Zina spread mtaa haraka na atapata more customers. Pia asisahau kumake popcorn ya kawaida because kuna pia wale customers wapendi madoido mob they like it simple with this biz yake itaenda poa. Maombi pia muhimu Kila siku kabla Samson aanze biz amuambie Mungu Sala make that's just my thought alafu akuwe place yenye iko kwa road yenye iko busy na iko open na popcorn ikue penye inaonekana ndio mtu aweze kuona na kumfikia pia iwe rahisi kwa msee maybe amekuwa reffeerd awake
#MESHCHALLENGE