
Sasa basi, kuna hii day nimechill tu site, story za life zikishika. Kidogo, Message kwa Phone ati Mpesa nimerecieve ksh,1530 lakini blunder MPesa iko Locked. Sikurada ati ni kitu na conning ama nini, kumbuka ni kitu 2016 so story za wizi through Mpesa zilikuwa top kudesign. Mazee teke teke niko za kusaka venye nita unlock MPesa🤗 Simu (Ngriii, Ngrii) inaita. Nilipick, sauti ikawa jama, mazee nimecall kukuambia nimetuma doo kwe tenje yako kiblunder. Mazee nadai unirudishie. Mara pesa ilikuwa mgonjwa Hosi. Hapa ndio mimi husemi, mtu ni watu. Msee wangu wa Nguvu, Godwin alifanya nigundue ni scam mazee. Nikiwa almost kutuma ndio tunagundua message ilikam na number personal. Hapo nilijua ni scam. Kaa Chonjo, #ScamStory
0
0
0