Sasa mimi hu-deal na cleaning & sanitation services; hufanya professional couch and carpet cleaning and fumigation nkitumia modern machines My question ina-relate na sales, najipata in my 4th month but sales ziko down sana, nafeel ata sometimes kuacha hio biz but najikaza tu Naomba mnisaidie, nini naezaweka kwa shop na iuze nimake income to cater for the monthly bills- ikuwe something related na cleaning Najua ukiskia ni couch and carpet cleaning and fumigation, unaezanichanua nini ingine inaezawekwa alongside hio hustle Na btw mniite niwaoshee viti kwa back- to-school discounted prices 0701255494|0735357200|0111590553 https://safiventures.co.ke
0
0
0