
Sasa tunaendelea kutoka point 1 ikifika kugrow the business
2. Scale
Kuna reason coca cola waliku walikua na $4 billion budget in marketing pekee last year.
More people seeing your product = more people buying from you
Basically: get more people coming to your business
Ads, flyers, content, videos, pictures, word of mouth... youtube, FB, Whats up, twitter, mesh....
Make sure uko in front of your target audience so much wanakufikiria constantly to the point wakitaka hio product, unatokea no 1 kwa akili yao.
Watu wanafikiria vitu wanaona na wanaskia very often.
Kenya watu wanapenda football, ukiwa na mabeshte hamtaanza kuongea stats za base ball na ice hockey
Kwaivo ukitaka more customers, weka biz na content pahali watu watashinda wakikuona na wakikuskia.
As long as ukona real estate kwa akili ya customer continuously, old customers watarudi na prospects watakua wengi.
More customers = more money
(Hii ni point kila mtu anaelewa lakini nimeiweka for reference of future content nitakua nikirelease to my connected mesh network na zingine to the public.
Kumake dooh kwa any business si about vile ni biz ni noma, product ni high class ama wewe ni mnoma kwa service.
Ni about 1. Unapata customers wangapi wapya kila mwezi / wiki - scale 2. Hao customers ukonao wanakupea pesa ngapi total in purchases - LTV
Ukifocus na izi mbili depending on situation yako ukona direction ikifika kugrow business yako
Thanks for reading so far hopefully umegain some info.
Comment kile umerada ama kile haujashika. Hakuna cost hapa.
Next nitakua naingia specifics.