šš Sasa wasee!
Niko hapa kwa double hustle
- Kama unataka clean, organized data kwa biashara yako, niko na skills za data cleaning & analysis, zenye husaidia kupiga hesabu safi na decisions za maana. Na kama unapenda electronics legit, fiti TVs, fridges, cookers na gadgets, karibu Nairobi Gems ā tuko Taveta Road, tunakupea quality na pocket-friendly prices.
Biashara inahitaji data safi na devices kali ā niko ready kukusaidia na zote! šŖ
š DM or comment, tukuwe better together! #DataCleaning #Electronics #NairobiGems #BetterTogether
0
0
0