Sasa Woshy, Niko na ideas,maybe itakusaidia
- Unaeza anza small with manageable stock ndo usikue na risk ya unsold inventory *Tafuta suppliers wako reliable na unegotiate discounts especially kama ni bulk unanunua *Decide kama unataka online biz ama stall..online inaeza kuwa cheaper na unajifanyia free advertising.pia ni customer based so unainteract na customers wengi at the same time *Check competition kuona ni styles gani za doll shoes zinaenda haraka ndo usikue na stock imelala tu *Avoid unnecessary expenses na umeksure umfuata budget yako to the T *Unaeza pia peana offers to the first 5 or 10 clients ndo kukue na high sales ukianza
- Make sure ujicommit ju biashara ni ups and downs, so persevere and love what you do All the best
0
0
0