Saseni, hope mko poa! Naitwa Sheila, na biz yangu ni ya Saloon. Nimekua saloonist for 5+years na Mimi napenda professional yangu. Na Niko located along Juja road. And nalook forward kulearn pamoja na ideas kushare. Asante kwa hii platform wanamesh.
0
0
0