
Saseni?👋 Leo tunawawish lively and lovely our fathers a #Happy Father's day. Pia kwa wale tunamiss mabuda wetu waliotuaga, walipo na wapumzike katika pumziko la milele. May God grant them eternal rest and shine perpetual light upon them; otherwise walichangia kuwepo kwetu, #Happy Father's day to them too!
0
0
0