
Saseni #MESH Community - mi naitwa @[Agnes Maluki] na #Hustle yangu ni kuuza gas na nilianza back in 2016.
Mi najibamba sana being self-employed and I love my hustle. Biz imekuwa fiti until time ya Covid-19 pandemic. Customers wengi walikafunga na wakaishia ocha / stayed indoors.
I did not give up nili-change strategy nikaingia #GasMobile services door to door na for sure nime-get customers kibao. #MESH ili-come the right time nikapata encouragement kucheki other young people going through challenges but baadaye wana make it.
Let's encourage one another, tuinuane ,tusaidiane na advice.... Any question for me? Nichapie kwa comments na pia enda ka profile yangu @[Agnes Maluki] tu-connect
#TukoMESH , #TukoSorted
0
0
0