
Saseni Mesh fam nahope mko poa. Nadai mnisaidie kusupport biz ya siz yangu ya kubake. Namsaidia kumarket ndio apate customers. Prices ni affordable na vitu anabake ni kama doughnuts,cupcakes,cookies,cakes,mkate, na kila kitu pastry. Tuko located at Waithaka,Dagoretti. Kama unadai kuorder for your valentine reach out at this number:0717431706 Thanks 😊

0
0
0