
Saseni meshers🙋🏻♀️,NI Esther apa😘. A young lady from kambaland.kitui.hustle yangu mimi hutengeneza fruit salads.inakuaga 50 per bowl and 70 take away . nafanyaga free deliveries kwa mwenye ako within kitui central😊.mwenye ako mbali wanalipianga fee delivery.zinawafikia vizuri sana.0797753830 is my number.unaeza nitext pia WhatsApp 😊


0
0
0