
Saseni. Mimi naitwa Elean KE wengi wananiita Actor Elean ama Director EK. Mi napenda hustle yangu ya acting because inanisaidia kupata kipato kidogo kidogo nikiwa shule, currently I do advertising through videos so pia kama uko na products za kuadvertise we can talk. Alafu pia kama hujanicheki pale youtube just search ELEAN
0
0
0