Saseni. Nakaa karibu na highway mahali magari mingi hupark. Niko na maji ya kutosha na naona business ya car wash inaeza make. Ni vitu gani nahitaji ndio nianze hii bizna?