
Saseni,, Napenda kuji introduce kama handmade YARNIST coz nafanya a different type of art,,nikitumia yarns,, Currently na work under CONVINIART DÈSIGNS,, Vitu mimi hu design ni kama door mats, living area mats, Wall arts, Gifts, car decors and general interior decors,, Na ukumbuke zote ni personalised,,yaani vile unataka,,hivo ndo Inatokea Na they are of high quality coz nazi design nikitumia my own hands,,si that's awesome 👌meshers Some of the designs ndo hizi




0
0
0