
Saseni! Sasa mimi outfit yangu navaa apron but si ya kitchen😅, ni ya kujiprotect from vitu kama chemicals, dye, mafuta isiendee nguo na vitu kama hizo ; I'm sure you get the idea? As a hairdresser mi humake sure nimevaa tucrocs ama any shoes that I consider a little bouncy, rubber and high kidogo juu kushuka na flat shoes hiyo nayo ni kujitaftia medical issues in the future. At times mi huvaa masks, gloves especially when dealing with dye ama chemical relaxing but kwa leo ni kushuka tu na kufanya tufacial na kutengeneza clients dreadlocks. This is a salon outfit 🥰



0
0
0