
Saseni wakuu Kuna hii story ya kupik boda na loan Kuna wasee wanasema si poa but Niko na advance....hapa if utaandikwa na mtu akupee boda utakuwa unampee 300 per day na maybe utamfanyia job like 3 to 4 years....je ukibeba boda na loan utakuwa unalipa 300 per day na logbook itakuwa yako...so mavijana loan unasaidia pahali..
0
0
0