
Saturday night sales Airtel and Safaricom airtime at 10% discount
By the way nyinyi MESHers hamjui kutake advantage ya vitu. Nawaletea airtime na offer but still utaona MTU instead asave hio 10 bob akibuy airtime ya 100 ataenda Tu Kwa shop abuy na Ile 100 na asipate discount.
Anyway thank you Josiah You are one of the MESHers who supports my hustle
- Cate Nyinyi nibwa nguvu

0
0
0