saving kwa sacco, yenye haina app ndio niminimize withdrawals, alafu pia kijidispline ni muhimu sana, budgetia doo yako, kua na ile percentage yenye unafaa kusave from a certain amount of money.