Saving regularly ni important as well unafaa kumake sure unaupdate na kuchange password yako especially kama unasave na Banks ama mobile aps ju zinakuwanga vulnerable to hacks.