
#SavingChallenge My savings story is kinda unique with lots of ups and downs. So nikijua story ya unaweza save doo ukainvest of kufungua biz Yako nilikuwa nimeajiriwa base!. Sasa nikipata kamshahara Kangu naweka pale tu kwa mpesa na maisha inasonga. Luckily nilikuwa na providiwa everything na my boss hiyo time do one day shit happens Hawa scammers wakanicall nikadhania ni safaricom, mbio nikapigia my siz nikamuliza kama maswali walikuwa wananiuliza nijibu aje! "she's always my brain"🤣don worry! Karibu niibiwo! So she helped me learn how to save in bank! Now nikiona savings accounts kwa two banks na zote nimesave. For the past one year I usually deposit 10% of my profit every week. #SavingsChallenge
0
0
0