Savings ni muhimu 🔥🔥 Leo kwenye pinned post @MeshAdmin anauliza swali moja fiti "Wewe hujipanga aje na savings" Tuchapiane zaidi