ππ Sawa! One day tutakaa chini tuongee kuhusu conmanship ya βSwahili dishesβ hotels Nairobi. Unapata pilau moto moto, harufu iko fireβ¦ lakini ukianza kula unaanza kutoa matawi na vijiti eti βspicesβ π Mdalasini whole, iliki full, karafuu mpaka unashindwa unakula chakula ama unatafuna dawa π Na bado utasikia: βHiyo ndio authentic!β Lakini bado tunarudi keshoβ¦ juu pilau ni pilau π π₯
0
0
0