
Scam Alert π€¬π€¬
Umeskia wasee wakisema whatapp Yao ilikuwa hacked alafu uyo msee akaanza kutumia watu message akiomba dooh vile akona ka emergency mahali , right ?
Well ,So hacks kama izo mostly uhappen through text message unapata messo inasema umepata job mahali , ama umekuwa invited kwa meeting ya governor ama msee senior on a community development project, alafu apo chini wanakupea link ya whatapp , ukitap iyo link ,whatapp yako itaku_prompt kujoin Tena and if you do that hao wasee watakuwa na full access ya whatapp yako na contact list yako yote , so avoid , messo kama iyo ni red flag manze π©π©
Hii ni sample message ya zenye wao utuma , kaa rada π€πͺform ni kujengana πͺ

0
0
0